Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
[emoji23][emoji23][emoji23]uchokozi huoHaoni kwa nani eti mana sijawahi kuona mie
[emoji23][emoji23][emoji23]uchokozi huoHaoni kwa nani eti mana sijawahi kuona mie
Kwaresma shunie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nakunywa heinekenn [emoji847] kwa niaba ya kibonge mwenzangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo inakuwaje [emoji7][emoji7][emoji7] kama nakuona upo taifaJezi ninayooooo hapaaaaaaaa
Nataka kujua labda napitwaga ukipewa makopa kopa mana toka ulivyopewaga taraka sijayaona tena[emoji23][emoji23][emoji23]uchokozi huo
Najua bwana mchungaji alituambia tufunge kitu kimoja tuuu unachoona umezidisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwaresma shunie[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha shunie,kile kpindi ilikuwa [emoji91][emoji91],toka nipewe ile taraka sina jipya tenaNataka kujua labda napitwaga ukipewa makopa kopa mana toka ulivyopewaga taraka sijayaona tena
Kwa hyo kijani hujazidisha sana?Najua bwana mchungaji alituambia tufunge kitu kimoja tuuu unachoona umezidisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakulala kwakee jana kasingiziaa daraja limekatika amekosaa usafir
Uwezo wako tu, acha tuanze kusherehekea ushindi bado mapema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kile kipindi nakikumbuka baba wawili lakini likes uko si unayapata ya kumwagaUmenichekesha shunie,kile kpindi ilikuwa [emoji91][emoji91],toka nipewe ile taraka sina jipya tena
Mimi kijani baba wawili nina mwezi sijanywa mimi ni mnywaji ujue sio mlevi inapita masiku mengi sanaKwa hyo kijani hujazidisha sana?
Jamani narudia tusikimbiane baadayeUwezo wako tu, acha tuanze kusherehekea ushindi bado mapema
Swadaktaaa..10 zinatosha kwa leoUwezo wako tu, acha tuanze kusherehekea ushindi bado mapema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibonge mwenzanguuuuuJamani narudia tusikimbiane baadaye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee, utamsalimia bhana ni muda mrefu sasa,, hata likes ni bila bila[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kile kipindi nakikumbuka baba wawili lakini likes uko si unayapata ya kumwaga
Hahah basi sawa shunie, nimekuelewa vizuriMimi kijani baba wawili nina mwezi sijanywa mimi ni mnywaji ujue sio mlevi inapita masiku mengi sana
Hakimbii mtuJamani narudia tusikimbiane baadaye
Enjoy Yna!!