Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
umehamua kuweka mambo hadharani sasa!!Tafuta tu kushare ndio habari ya mjinihakuna cha peke yako labda kaburi



umehamua kuweka mambo hadharani sasa!!Tafuta tu kushare ndio habari ya mjinihakuna cha peke yako labda kaburi



Hii rohoo kakufundishaa nanTafuta tu kushare ndio habari ya mjinihakuna cha peke yako labda kaburi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂umehamua kuweka mambo hadharani sasa!!![]()
Babe kuongea ndio zao achana nao haujawazoea tuUmewapa cha kuongeaa
Ndiwoooo mwanaume rijali hafugwi kikubwa hapa ni kwake mda wowote anakuja atazunguka weeeh mwisho wa siku anarudiumehamua kuweka mambo hadharani sasa!!![]()

Ndiwoooo mwanaume rijali hafugwi kikubwa hapa ni kwake mda wowote anakuja atazunguka weeeh mwisho wa siku anarudi![]()



Chief umeadimikaa
Habari anazo?
Tafuta tu kushare ndio habari ya mjinihakuna cha peke yako labda kaburi
KaribuuuuuNipo chief ni hapa na pale!
Ok sawa auntie
Nipo chief ni hapa na pale!
Sijaona mie mpaka sasa
Shikamooo ankooo mkuuuJumatano njema wadau wa jukwaa hili. Niko lindo muda huu na nasikiliza Dotnata sebene
Kuna anko mkuu na anko comedian!Shikamooo ankooo mkuuu
We mswahili unaanza sasaBi chaunabe, upo ndugu yangu!!
DuuHata hayo makaburi siku hzi wanazikwa wawili! Mwili mpya ukija wanaangalia kaburi la zamani kidogo, wanachimba futi kadhaa wanazika.