Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23]nmeacha mjombaa, nakujua huwa hautanii wewe
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23]nmeacha mjombaa, nakujua huwa hautanii wewe
Naaam mtoto mlitoKhaaaaa baba wawili wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naagiza kweliJirani agizia pepsi baridi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa sawa mjombaa,kwa leo je wajua unakuja nayo wewe mjombaa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijuaaa tuuu
Kwahiyo unakataa hayupo na mimi
[emoji849][emoji849]mmmhh yasije yakanishindaKwahiyo unakataa hayupo na mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mjomba mnafikiiiiii ewe sijawahiiii kuonaaaa
Agiza jirani yangu....[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]ngapi niagize?Agiza jirani yangu....[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wewe tu jirani[emoji16][emoji16],ni bora kula na jirani kuliko kioze,, si kweli jirani?
Naagiza kreti mimi nahivi ni j/pili zitanikoma[emoji1].. [emoji1][emoji1]ee ni kweli jirani yanguNi wewe tu jirani[emoji16][emoji16],ni bora kula na jirani kuliko kioze,, si kweli jirani?
Niko seriously[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watoto wambeaa hawaaaKwahiyo unakataa hayupo na mimi
Ukizingatiaa bado unanitaka na mm nimejituliza kwa mtoto mlito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyuu ndo mjombaa mjombaa sasaNi wewe tu jirani[emoji16][emoji16],ni bora kula na jirani kuliko kioze,, si kweli jirani?
Pendaaa vya bureeeee utajutaa na mjombaNaagiza kreti mimi nahivi ni j/pili zitanikoma[emoji1].. [emoji1][emoji1]ee ni kweli jirani yangu
Sent using Jamii Forums mobile app