Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Baharia ulikagua chura zao ukagundua hamna kitu?
Kama wanabishaa wasemeBaharia ulikagua chura zao ukagundua hamna kitu?
Hivi umenielewaa au
Mimi nataka wengi kama wewe ulivyo na wengiHivi umenielewaa au
HeeeLeo husna muba na wenzio mmenifurahisha sana hata kuweka je wajua siweki
Mhhhhh sawa mamaSina moyo wa sanamumaumivu nayajua aahhhnyama ya ulimi tamu jamani nyama ya ulimi tamuuu
Nina moyo wa nyama sina moyo wa chuma
Kupendwa nimeumbiwamahaba nimeumbiwa miminina moyo wa nyama sina moyo wa chuma
Ah we nani kasema...Kwakweli mnapendana kama wake wa Dr mwaka binamu Obe popote ulipo nakupa shikamoo binamu yangu nikupendae
Ebu shangaa jamani mpaka ananipa baba wawili ninge mimi kweli wa kupewa baba wawili
Niko na shunie tu puliiiiiziiiiiMimi nataka wengi kama wewe ulivyo na wengi
Anko, hata kama ulichukia mimi nilipotembea na Halima huna sababu ya kutaka kuingilia mapenzi yangu
Sio kweli! Mimi nakushinda swahiba wangu!
Ushindi wangu Wazee wa kubet wanasema nimetoa handicap!
Anko, hata kama ulichukia mimi nilipotembea na Halima huna sababu ya kutaka kuingilia mapenzi yangu
Umeniudhi sana na nitakuwa na press conference kwa mjumbe, yule uliyetembea na mkwe wake
Anko, hata kama ulichukia mimi nilipotembea na Halima huna sababu ya kutaka kuingilia mapenzi yangu
Umeniudhi sana na nitakuwa na press conference kwa mjumbe, yule uliyetembea na mkwe wake