Mmh baba wawili ebu acha kuwasingizia watoto wako wa kudownload
Hujaaangalia mpiraaa kingamuzi bado[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hakuna na haitakuja kuwepo..
Amen
Nikumbushe wema wako nisije laumu [emoji120][emoji120]
Ndugu zangu, jana feb 25, Mwenyezi Mungu ameniongezea mwaka mwingine.
Natoa shukrani za dhati kwake kwa mwaka mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app