Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Acha kabisa nimeficha tani 10 za sukariLinamo umeadimika ka SUKARI
Acha kabisa nimeficha tani 10 za sukariLinamo umeadimika ka SUKARI
Kaka ako mzima sanaaSalama kabisa Wii.my kaka mzima?
Msalime wiiKaka ako mzima sanaa
Iko api??Shemeji nna zawadi yako
Shem Habar ya wewe
hata mm wamenikamata apo!
Mnao tumia kisimbisi cha AZAM mukuje hukuuuuJamani hebu kwa mnao tumia azam mnisaidie maana kuanzia saa kumi mpaka sasa haioneshi. Ni kwangu tu au na kwa wengine inastack balaa mpaka nimechoka
Ntakuelekeza nilipo uje uichukueIko api??
Oui nimetua leo toka Palii ako na zawadhi ya mutoto muzuri lizziebettie tosali ya bolingoWerrason mutu ya kongo, tijari imekuya humu ku nyumba!
Kikongo;TIJARI NDIO NINI MKUU UMENIACHA !
nimekupata mkuu alrightKikongo;
Tayari= tijari
Kuja. = kuya
Tani 10!!!Nini![]()
![]()
![]()
Hapana azam kwangu shem
Umeniletea kitenge au mkorogo?Oui nimetua leo toka Palii ako na zawadhi ya mutoto muzuri lizziebettie tosali ya bolingo