Makapuku Forum

Swalama kabisaa....naona leo umegonganishaa wamekutana kwenye daladala

Anko, hili nalo litapita tu. Niko kwenye kampeni ya kuzuia nzige kwa sasa.

Hili daladala bora lipate corona tusishuke wote tukae tujadili yaishe maana Ibrahim alikuwa na masuria ya kumwaga ugomvi haukusikika kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…