Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Anko na wewe piaNatumaini mmeamka vizuri na wote mlioamka vibaya jua litatoka tu msihofu.
Jnne njema.
Anko na wewe piaNatumaini mmeamka vizuri na wote mlioamka vibaya jua litatoka tu msihofu.
Jnne njema.
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui kajibuje
Binamu nakusalimia tu mimiView attachment 1354047
Anko Lee swalama alhaj wangu? Safari imefikia wapi mjomba.
Au ningendako alitokea kuokoa jahazi?
Jamani aliyeangalia ataniambia tatizo bundle
Hahahaha, mastory ya TownHahahah tupige mastory gani we mzee mbona una vituko hivi jamani
Ebu nipe basi hayo mastory ya town we mzee wake shunieHahahaha, mastory ya Town
Sultan wangu.. [emoji8]Natumaini mmeamka vizuri na wote mlioamka vibaya jua litatoka tu msihofu.
Jnne njema.
Wacha weeeh ngoja na mie nitafute wangu humu manaa kila mtu ako na mbebez wake [emoji2997]
[emoji2][emoji2][emoji2]kwani Yule uliyekuwa naye alienda wapiWacha weeeh ngoja na mie nitafute wangu humu manaa kila mtu ako na mbebez wake [emoji2997]
Nani huyo tena jamani
Baba wawili huyo jamani nimekumiss mimi [emoji847] hatimaye mtekaji kaachia nywila
Kwema jirani
Ha ha aisee, hakuna mtekaji bhana, nilijiteka mwenyewe tu..Baba wawili huyo jamani nimekumiss mimi [emoji847] hatimaye mtekaji kaachia nywila