Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Poleee....nimevaa mawani anko
Poleee....nimevaa mawani anko
NimeokokaHahahaa...
Henu kanywe beeer uache kuwaza ujinga.
Iko poa baba wawili sijui weweHa ha ha aisee
Kwema lakini?weekend yako iko vipi hapo?
Tena ni jumapili takatifuJumapili
Tusherehekee eti26.01.2020
AimennTena ni jumapili takatifu
Tumshukuru Mungu kwa hilo jamanii dadaTusherehekee eti
Asante binamu,nmekarbia
Salama kabsa,habari za weekend binamu?
Weekend iko safi shunie,tunaimalizia taratibu..Iko poa baba wawili sijui wewe
ha ha ha binamu,ulikuwa pale pale pa siku zote na mjomba Lee ?...binamu, weekend ilikuwa shega kabisa. Nilikuwa nakula nyoro kwa chabo na kike kidenishi changu nisichopenda kijulikane.
Vipi wewe jpili hii unaimalizaje katika kuimaliza January?
Black is beautifulView attachment 1335436View attachment 1335437View attachment 1335438
Sent using Jamii Forums mobile app






Siku mmeacha ile hainaga ushemejSiku hizi ananikwepaaa make alipata msomalii hatak nimjue