Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
Masikini @ jimena![]()
Wenyewe wanajijua.
Masikini @ jimena![]()
Wenyewe wanajijua.
Mwanzo mpaka mwisho, ila changamoto ipo kwa mtu mmoja tu mchawi, kumshusha sio kazi ndogoTunataka top 20 yote tuwe makapuku
Hivi trophy point ni nini??? Mbona haipiti 113naona mambo yako sio mabaya 20k za like haziko mbali

Mtag mwalimu wake ni sikumuelewa nikaamua kumruka
Potezea tumimi nachukia sana mana hayo matusi kila mtu anayajua, tuwe waungwana.
Tutaanza kunyimana likes bure
![]()
![]()
![]()
..........
Yule mbona anajichanganyaga huku, af hanaga ubaguzi!Mwanzo mpaka mwisho, ila changamoto ipo kwa mtu mmoja tu mchawi, kumshusha sio kazi ndogo
![]()
![]()
![]()
Na kwel aisee mana wanadamu wamejaliwa wivu sana
Sijawahi ona zikizidi zaidi ya 113Hivi trophy point ni nini??? Mbona haipiti 113![]()
Kwann mimi lakin sijui
The humble man
Hujui Kingereza.Hiii kwan nimefanyaj
Tia japo kidogoNapita tu hapa siweki neno
teh teh teh...Mwanzo mpaka mwisho, ila changamoto ipo kwa mtu mmoja tu mchawi, kumshusha sio kazi ndogo
....asije akam-ccNyani nishamshusha chini saa hizi amerudi mbugani Mikumi
