Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli dada, Moyo unaumaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada unauma kwa nini eti nipo na ubuyu apa ungekuwepo dar ungekuja kuchukua sema zimebaki pakti chache kazini wamezigombania mpaka nimebeba ubuyu zangu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dada unauma kwa nini eti nipo na ubuyu apa ungekuwepo dar ungekuja kuchukua sema zimebaki pakti chache kazini wamezigombania mpaka nimebeba ubuyu zangu
Umeanza lini uchoyo jamani babe!

Naomba ubuyu wangu unitunzie, nakuja mjini mimi...

Moyo unauma tuu jamani, yaani unaumaa
 
Umeanza lini uchoyo jamani babe!

Naomba ubuyu wangu unitunzie, nakuja mjini mimi...

Moyo unauma tuu jamani, yaani unaumaa
Hahhahah halafu kwanza wewe si haupendagi unaendaga kula na babe wako zimebaki pakti 2 tu ngoja za awamu nyingine zikija nitakuwekea babe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…