Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Kwema binamu, mambo yanaendaje ndugu yangu. Mvua hizi ndo za kupandia wikend hii ujueKwema binamu
Kwema binamu, mambo yanaendaje ndugu yangu. Mvua hizi ndo za kupandia wikend hii ujueKwema binamu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Miss you dada [emoji8]...salama nyumban?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan wewe bwana baba wawili unamuonaga dada ako bikra eeenh
Dada shkamoo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani.... UpoDada shkamoo...
Mtoto mlito mkorofi sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.Dada shkamoo...
Mambo yanaenda salama kabsa binamu, sijui huko? Bado unataka ulime tena koroshow binamu?Kwema binamu, mambo yanaendaje ndugu yangu. Mvua hizi ndo za kupandia wikend hii ujue
Mambo yanaenda salama kabsa binamu, sijui huko? Bado unataka ulime tena koroshow binamu?
Haha nipo jirani yangu za weweJirani.... Upo
Jamani my Telemundo nilikumiss acha..haha si dadaangu.
.....my Telemundo, unamsalimia Nani!?
Salama kabsa jirani za kupoteaHaha nipo jirani yangu za wewe
Hahah binamu bhana, hizo pesa tulishazisamehe hakuna namna,watu wanasema ulionekana mjini kwenye happy birthday ya SepangaHabahahha, binamu bhana, korosho ni za kudumu haziepukiki, ila kwa vile sijakamilishiwa malipo yangu basi nitafanya kangomba tu hakuna namna.
Ukiwa na furaha naweza kukuanganisha na wafanyabiashara wa kangomba ushirikiano nao
Salama kabsa jirani za kupotea
AnkoooHabahahha, binamu bhana, korosho ni za kudumu haziepukiki, ila kwa vile sijakamilishiwa malipo yangu basi nitafanya kangomba tu hakuna namna.
Ukiwa na furaha naweza kukuanganisha na wafanyabiashara wa kangomba ushirikiano nao
MkeeNzurii tu mnaninyima nini humu ndani..
Anko hebu jibu simu zangu. Maisha yenyewe mafupi, acha kiburiAnkooo
Mkee
Watakuwa watu wa browser tuu.. [emoji23][emoji23]Woyooooooo
Nani kanunaaaaa nauliza nani kanunaaaaa watakuwa wa browser
Vipi wale Inzi wako wamelewa jana?Hhaahaha
Hahhahah itakuwa