Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Na wasiwasi mzee,tena pasi ya mwisho hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm sijapasiwa na mtu yeyoteAu Mkatalunya kampasia pasi ndefu
Na wasiwasi mzee,tena pasi ya mwisho hii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm sijapasiwa na mtu yeyoteAu Mkatalunya kampasia pasi ndefu
Sasa ww humuoni akikuona ww kulia tu ebu muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio we dadaSema ukweli bana
Haaaaa shem bwana kwahiyo unataka kujikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenyewe mnaona siri baba wawili
Pasi ya kisigino hiyo hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm sijapasiwa na mtu yeyote
Hahhahaha shem mm nipo juve kwa mnyama RonaldoSiwezi kujikana, nimeshangaa Tu mpaka wewe Shemu wangu umekutana nalo
Karibu na wewe uwe Mkatalunya
Hahahhaha hamna bwana baba wawili wangu kijana mpolePasi ya kisigino hiyo hahah
SiwaelewiSasa ww humuoni akikuona ww kulia tu ebu muonee huruma mtoto wa mwanamke mwenzio we dada
Wazee wa vumbi la congo kuna ujumbe wenu hukuView attachment 1168012View attachment 1168014
[emoji120]
NdiwoiiiKwahiyo apo unajiona mjanja eenh
Ni wazima mnoMarhaba dada ake,wawili wazima kabsa,wenzao hawajambo huko?