Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Vipi eti jamaniAisee
Vipi eti jamaniAisee
Hahhahaha na mm namsalimia mzee wangu wa kulalamikaUnasalimiwaaa na mzee wa kulalamikaaa bosiiiiiii
Hahahaha jinga ww[emoji8][emoji8][emoji8]
Hivi hujaambiwa kuwa nmepanda cheo[emoji847][emoji847]
I miss u jamani we mzee
Hajambo anakusoma apaHajambo kwa kweli
Wa kwako vipi
MfyuuuuuuAkikujibu unitag na mm nijue maana yake[emoji23]
Ebu ukooOoooh
Kwahiyo apo unajiona mjanja eenhAfadhali techno yetu haijasahaulika
Na kwako piaMuwe na kazi njema[emoji113][emoji113][emoji113]
Naona mambo mengi muda mchacheVipi eti jamani
OyoooNaona mambo mengi muda mchache
HahahahahahaUtajua hujui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitekwe na nani,niko nagaa gaa na upwa but mpaka now sijaambulia chochote zaidi ya kupotezewaOyooo
Nani amekuteka
Umepanda cheo umekuwa mama watatu au mama wanne? Hahaaaaa pongezi kwako[emoji8][emoji8][emoji8]
Hivi hujaambiwa kuwa nmepanda cheo[emoji847][emoji847]
I miss u jamani we mzee
Hahah mtoto flan hiviii,,mtoto mwenye rangi ya mtume??mtoto mwenye unywele kama wale wa nywele za Darlin [emoji2][emoji2]Mtoto flani hiviii baba wawili
Marhaba dada ake,wawili wazima kabsa,wenzao hawajambo huko?Shikamoo kaka ningendako wawili hawajambo
Binamu toka umuombe pesa ya fursana hajaonekanaBinamu akuonyeshe[emoji23][emoji23]
HehMkatalunya Cole Williams nakuona shem wangu mm [emoji847][emoji847]
Hata sijajibiwa vyema ndugu yangu,namuona anazunguka tu mtoto mlito wa uzi [emoji16][emoji16]Akikujibu unitag na mm nijue maana yake[emoji23]
Nani amekupotezea etiNitekwe na nani,niko nagaa gaa na upwa but mpaka now sijaambulia chochote zaidi ya kupotezewa