Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
Boss time!
Tuliokoo zamu na tunatafuta connection tujuanee
Connection ya uwoya au mama lwakatare
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Boss time!
....connection ni nini tena anko!?
Ni mto wa kulaliaa
Ni fayaaaaBirthday vipiii
Hayaa hayaaaNitarudi baadae bado nipo lindo
Umeshaipata au nije kukusaidia kuitafutaUweeeeeeh mm naitafuta yakooo kwanguuu
Mbona sijaona picha kwa sttsNi fayaaaa
Ebu ukoooHayaa hayaaa
Nilikuwa naumwaMbona sijaona picha kwa stts
HahahahahahaEbu ukooo
Jirani yake kaka ningendako atakuwa anajua alipo..ewaaah, huyu ndo yeye wengine wote macho hayawaoni. Una habari zake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akikupa unigawie[emoji39][emoji39]Habari zake ninazo,na muda sio mrefu nimemuona,,hakuna kitu cha bure binamu,,kama una taka habar zake weka pesa[emoji2][emoji2]
Nko pouwaMarhaba dada ake,,habar ya uzima?siku yako imeendaje huko
Mie sina churana mzee wa chura Behaviourist
Usisahau kunipa lift binamu....huyu mrembo wangu naye hawezi kabisa kujua kuwa ile elfu ishirini na saba sio ya koroshow, ile ni malipo ya wastaafu wa jumuiya ya Afrika mashariki.
Nimeandikishwa kama mrithi, kila mwisho wa mwezi fungu linaingia.
Ujue binamu sasa hivi mimi niko kama bepalibeberu , maana fikiria hela zote za wastaafu, afu za koroshow kisha zile za Mo, zote nikilipwa unategemea nini!?
Unaijua yard yoyote inayouza magari mapya used!?
Salam kwa anko Lee kwa kupanga bajeti
HapohapoTubaki wapi eti
Ni mto wa kulaliaa