Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Marhaba dada ake,,habar ya uzima?siku yako imeendaje hukoShikamoo kaka Ninge
Marhaba dada ake,,habar ya uzima?siku yako imeendaje hukoShikamoo kaka Ninge
Salama binamu,huku hatujambo na tunaendelea vyema kabsa,sijui huko??
yale mambo ya kigambon hata mm yameniacha kinywa wazi binamu,bado na tafakari,,ngoja tumuulize Shunie na je wajua yake anaweza kuwa na majibu ya haya mambo binamu,wanasayansi kila siku wanagundua kitu kipya
Habari zake ninazo,na muda sio mrefu nimemuona,,hakuna kitu cha bure binamu,,kama una taka habar zake weka pesa[emoji2][emoji2]
mjombaaaaaaaaaaaSalama mjombaa??
binamuuu simuu mbona cover niliikutaa kwa aunt yetu kibongee mwepesiiiii ......au cover imekoseaaa njia....nimeibiwa simu anko, wiki ijayo napata simu mpya toka duka la used phones. Nitakucheki
uUtani kando, Anko nahitaji maongezi na wewe, nakuja mjini na nauli sina
Hahah binamu hizi story sasa,,telemundo wako ameshasema tayali mmelipwa..
...duh, ubinadamu kazi sana, hata wewe!!!!
Mimi hela ninayo na unajua sema bado iko kwenye process bank, tumepata naibu waziri mpya wa kilimo labda ataharakisha malipo
Kwema mjomba,habar za uzimamjombaaaaaaaaaaa
na mzee wa chura BehaviouristNmeachwa na nani?
nzuriiii nimepewaaa simuu leo ..bosiii kasafiriiKwema mjomba,habar za uzima
Aiseee,mjomba naona boss wa sasa kakuweza kweli kweli,hata yale maeneo siku hz hautokei kabsanzuriiii nimepewaaa simuu leo ..bosiii kasafirii
anakabaa mpaka kivuliiiiii apa lazimaa kubadilishaaa uelekeoo, ila niliambiwaa yulee ulimpangiaa ghetoo kabisa cheusi wakoo mjomba wewe hatariAiseee,mjomba naona boss wa sasa kakuweza kweli kweli,hata yale maeneo siku hz hautokei kabsa
anakabaa mpaka kivuliiiiii apa lazimaa kubadilishaaa uelekeoo, ila niliambiwaa yulee ulimpangiaa ghetoo kabisa cheusi wakoo mjomba wewe hatari
Hahah binamu hizi story sasa,,telemundo wako ameshasema tayali mmelipwa
Tununu ugonile babaDah!! Hadi nimeanza kupasahau huku nyumbani....!!
Ugonile wanasakafu?.
Hahhaha jinga wwUnataka kuomba nini eti
Tubaki wapi etiMmbaki hapohapo