Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,444
Mambo vp ShunieBaba wawili huyo
Mambo vp ShunieBaba wawili huyo
Hahah binamu akisikia swala la kutoa pesa anaweza kupotea hapa hata wiki haonekani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akikupa unigawie[emoji39][emoji39]
Haha acha apambane na hali yake tu,binamu ndugu zake ametusahau pesa anakula na SepengaJirani yake kaka ningendako atakuwa anajua alipo
Kuumwa ukashindwa kuweka picha kwa sttsNilikuwa naumwa
Na mm nimepata mtekaji mtaisoma noHapohapo
Poa baba wawili za weweMambo vp Shunie
Woyooooo woyoooooo woyooooooPukuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Salama kabsa shunie,habar za huko?mnatunyima nn hukoPoa baba wawili za wewe
Niaje mkuuPukuzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Huku baridi jamani yaan baridi tu baba wawiliSalama kabsa shunie,habar za huko?mnatunyima nn huko