Makapuku Forum

Makapuku Forum

...binamu mambo vipi ndugu yangu. Naamini ulikuwa na wikend nzuri.

Hivi jirani yako ambayo bahati nzuri ni my telemundo umemuona wiki hii, ??? Mambo ya Kigamboni yananichanganya sana, nilijua mjini mnatumia gesi kumbe na mkaa unatumika kutengeneza mbolea ya mgomba..
@ABJ
 
Salama binamu,huku hatujambo na tunaendelea vyema kabsa,sijui huko??

yale mambo ya kigambon hata mm yameniacha kinywa wazi binamu,bado na tafakari,,ngoja tumuulize Shunie na je wajua yake anaweza kuwa na majibu ya haya mambo binamu,wanasayansi kila siku wanagundua kitu kipya
 
Back
Top Bottom