Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
HahahahahaNa nimekoma jamani
Mbavu zangu jamani
HahahahahaNa nimekoma jamani
YupiHuyu mtekaji kiboko
Hawajambo pia dada ake,wanakusalimia sanaNi kwema mno
Wawili hawajambo sijui wanzao huko
Kumbe mambo ni yote twila binamu,,sikuwa nafahamu hata kidogo,inabd ujiunge huko tupate kujuzwa unalipwa ln yale mapesaAsante Shunie kwa "Je Wajua''
Lile suala la twilla (binamu ningendako ) nitalijibu muda si mrefu ila msemaji wa serikali anatoa news huko natamani ningekuwa na twila nisikie kuhusu malipo ya korosho maana hizi clip za hawa wastaafu wanaotaka kumstaafisha Jiwe, Kichaa aka jirani yangu hapa yaani akivuka maji tu anafika kwangu basi wanatusumbua sana.
Wikend Njema wadau
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Salama shunie,nipo poa kabsa,,miss you much kibonge mwepesi
Aliyewateka baba wawili Mungu anamuona[emoji2][emoji2][emoji2]
Baba wawili ugonjwa wako huoDuh hahah
Huyu mzee bwana kuna siku alikuja mmarekani humu makapuku akaacha no yake nimtafute sijui wasap mzee wa ugimbi acha apanick toka hiyo siku sijamuona tenaHahaha kwan mzee wa ugimbi nae ametekwa
Hahhahaha kwani mm nimekukatalia kama ww unavyokataa uzeeHahahaaaaaa
We mwenyewe mzee
Eeenh kwahiyo sisi vibonge twende wapi etiHataki vibonge
Wewe utaenda etiHuendi mbinguni
Wewe mzee lazima uipende ndio mambo zako hizoNimeipenda hii
Hahhahaha kama nakuona ukiwa kwenye hizo mamboDuuuh!
Aliyewateka jamani mpaka mmepoteaYupi
Unaongea na binamu ama mjomba,,,mimi nipo mbonaAliyewateka baba wawili Mungu anamuona
Hahaha sasa si ungemfariji mzee wa ugimbi,na vile unavyojua kumpa presha mzee wa watu,utakuwa ulimtelekeza tu[emoji2][emoji2][emoji2]Huyu mzee bwana kuna siku alikuja mmarekani humu makapuku akaacha no yake nimtafute sijui wasap mzee wa ugimbi acha apanick toka hiyo siku sijamuona tena
Wote bwana ww mwenyewe unaonekana kwa kubeepUnaongea na binamu ama mjomba,,,mimi nipo mbona
Hahhahaha nimfariji na nn alikua anajibu tu kwa ukaliHahaha sasa si ungemfariji mzee wa ugimbi,na vile unavyojua kumpa presha mzee wa watu,utakuwa ulimtelekeza tu[emoji2][emoji2][emoji2]
Nipo sana shunie,habari za weekend lakinWote bwana ww mwenyewe unaonekana kwa kubeep