Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Huyu mtekaji kibokoHahahahahaha
Huyu mtekaji kibokoHahahahahaha
Binamu uko twila kuna nn eti...kwema sana binamu, hofu kwako na family.
Mimi ni mzima kabis na no complains.
Hivi binamu unaijua twitter (wanatamka twila sijui)?
Je iko kama instagram au telegram (hii telegram imerudi tena ukubwani ilikuwepo wakati nasoma nyanda za juu kusini)