Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimebaki mwenyewe na je wajua yangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimebaki mwenyewe na je wajua yangu
[emoji2][emoji2]kuna jpya kwaniNaona bado mmetekwa jamani
Mkuu shikamooBosiiiiiiiii
Marhaba dada ake[emoji2]Mkuu shikamoo
Kwema shunie?Naona bado mmetekwa jamani
.....happy hump day.
MwenyeweEbu uko
UkomeeHahaaa nilitoa taarifa tu halafu nikachuniwa
HahahahahahaNaona bado mmetekwa jamani
Kwema binamu
Niko salama binamu,familia iko salama pia,wanakusalimia wawili...kwema sana binamu, hofu kwako na family.
Mimi ni mzima kabis na no complains.
Hivi binamu unaijua twitter (wanatamka twila sijui)?
Je iko kama instagram au telegram (hii telegram imerudi tena ukubwani ilikuwepo wakati nasoma nyanda za juu kusini)
Miss you my brother[emoji8][emoji8][emoji8]Marhaba dada ake[emoji2]
Shikamoo binamu...kwema sana binamu, hofu kwako na family.
Mimi ni mzima kabis na no complains.
Hivi binamu unaijua twitter (wanatamka twila sijui)?
Je iko kama instagram au telegram (hii telegram imerudi tena ukubwani ilikuwepo wakati nasoma nyanda za juu kusini)
Miss you more lovely sis[emoji8][emoji8]Miss you my brother[emoji8][emoji8][emoji8]
Mtekaji wenu na mm mwambie aniteke basi [emoji847][emoji2][emoji2]kuna jpya kwani
Kwema baba wawili za wewe jamaniKwema shunie?
Na nimekoma jamaniUkomee