Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
...nipo nafanya mambo ya kidunia (telemundo asisikie hii)Binamu upo lindo kama mm
Upo pia aunt yangu wa ukweli
...nipo nafanya mambo ya kidunia (telemundo asisikie hii)Binamu upo lindo kama mm
Je wajua inakujia na shunie shunie kibongeee cheusi mangala....
...@lee anko wangu kakupa limbwata, si bureHaiwezi tokea aisee nikupende kuliko ninavyompenda lee
Lee ni wa pekee
...basi vizuri maana kuwa na jipya wikend kunaogofya sanawala sina nipo nipo tu
Ujue kapuku ni jina tu sio watu ni makapuku, watu wa humu wana mahela
Hahhah nipo binamu mambo gani ya kidunia hayo unayofanya eti...nipo nafanya mambo ya kidunia (telemundo asisikie hii)
Upo pia aunt yangu wa ukweli
Duh, hata nimeshindwa niandike nini zaidi. Hivi kuombwa hela wakati wa kulombana inaweza kuwa ni paraphilia!?Woiiiiii
Wenye ugonjwa wenu kuna ujumbe wenu hukuView attachment 1141613View attachment 1141614View attachment 1141615View attachment 1141616
....mjinga tu huyu asitupe mawazo, lile shuti alilopiga alikuwa anategemea tunyamaze tu! Bora akae kimya
Hahhah nipo binamu mambo gani ya kidunia hayo unayofanya eti
Hahahaha tena binamu umeiwahi kabisa...leo mapema hata mimi nimekuwa wa kwanza kusoma.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...@lee anko wangu kakupa limbwata, si bure
...imeandikwa, usiende kufanya manunuzi ukiwa na njaa (Kutoka 2019:1-7)
..hiyo moja iliokotwa na mhamiaji haramu au mwanaccmHahaha huu utafiti wangekuja kufanya na huku Tanzania kwetuView attachment 1141622
Ha hahahaha, duh, nimecheka sana, hii ndo breakfast ya kina kazinyingiWapiga puchu kuna ujumbe wenu hukuView attachment 1141623View attachment 1141624View attachment 1141625View attachment 1141626
Ha ahahaha, akili yako haina akili, ha ahahaha, ukimpa hela nistue niende kumuomba assist[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Binamu kama anko wako kanipa limbwata nimpende namuongezea hela akaongeze limbwata lingine [emoji847][emoji847]
Hahahah umesahau na fursana binamu ya mama jj...kama mimi nina mahela hadi serikali imeamua kunikopa korosho zangu kwa kuwa wanajua sina shida ndogo ndogo.
Waulize kina Tumosa na binamu ningendako hawa wanajua nina hela na nikaaahidi atakayeniunganishia Wema Sepenga basi ninampa hela ya kununua Toyo mpya, cash bin taslimu
Hahhahahaha mm sijui binamuDuh, hata nimeshindwa niandike nini zaidi. Hivi kuombwa hela wakati wa kulombana inaweza kuwa ni paraphilia!?
Woyoooo watu na telemundo wao....ni haya haya tu na baadaye nitamtumia maua my telemundo kuonesha upendo wangu kwake