Makapuku Forum

Makapuku Forum

kuna wakati kuna vitu vinajitokeza kwa makusudi katika haya tunayofanya humu ndani.. Wengi tunawapa ustar Usiostahili.. Hawana wanachokiandika zaidi ya ujinga.. Tupo hapa kujenga na kurudisha Heshima ya Jf nzima... Hatuwezi kuwapandisha wale wasiostahili.. Tusimame imara
huyu.jamaa nimeona kawekewa R.I.P kwenye profile yake,is he real no longer?
 
...kama mimi nina mahela hadi serikali imeamua kunikopa korosho zangu kwa kuwa wanajua sina shida ndogo ndogo.

Waulize kina Tumosa na binamu ningendako hawa wanajua nina hela na nikaaahidi atakayeniunganishia Wema Sepenga basi ninampa hela ya kununua Toyo mpya, cash bin taslimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom