Binamu upo lindo kama mm...mamiziki ya weekend yanakujia usiku usiku sana
Kwema mzee wa salaam ww ukija humu ni salaam tu halafu unakimbiajaman kwema humu.......
Safi moud habari yakoSalaam shunie
Hatujambo Dada shikamooHamjambo
wala sina nipo nipo tuIt's furahiday yeeh,
...kwema sana, Una Jipya?
safi tu mi nkijaga huku sikuti mada........af shda mi ni kapuku so lazima hata niwajulie hata hali tu.....(watu hamlali)....Kwema mzee wa salaam ww ukija humu ni salaam tu halafu unakimbia
Ujue kapuku ni jina tu sio watu ni makapuku, watu wa humu wana mahelasafi tu mi nkijaga huku sikuti mada........af shda mi ni kapuku so lazima hata niwajulie hata hali tu.....(watu hamlali)....