Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Binamu huyo mwenye maringo ndio nani hapo
...wewe si umesema humuoni ningendako wakati yeye kavua hadi na shati maana joto kali lakini unampotezea.
Kifupi wewe hapo ndo una maringo
Binamu huyo mwenye maringo ndio nani hapo
Hahahah aise,sawa binamu,hyo pesa uliyonunulia laptop ndio zile za koroshow
NdiwoooKukupenda ndio kukunyima kitu jamani
Hebu hukooooEeenh kumekuchaaaa
Nzuri sanaHabar za muda huu dada ake na shunie
Hunielewi kwa nn eti mrembo wanguNdiwooo
Siku hizi sikuelewi ujue
Urembo huo vipiHunielewi kwa nn eti mrembo wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Urembo huo vipi
Hebu hukoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiniambie unajikana mrembo wangu
Weekend nitakuja kuwasalimia[emoji2][emoji2]Hatujambo pia dada ake,wawili wamekumiss aunt yao[emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukidownload ukumbuke kuzisave tu usije ukatuletea kama ya dada ako tumosa leo anatuwekea wengine kesho kutwa anatuletea wengine
Kumbe watu tuna kumbukumbu zote
Nataka unipende kuliko unavyompenda Lee![emoji16][emoji16][emoji16]Tatizo unajishtukia mm unanikera tu na mambo zako za umbea
....nipo naitafuta furahiday kwa kuangalia soka ila nna mawazo mawili, moja tushinde na jingine tufungwe, ubinadamu kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]that is our binamu[emoji123][emoji123][emoji123]Lile wazo nililotaka lifanikiwe limefanikiwa , najipongeza kama unateseka sio suala langu