Makapuku Forum

Makapuku Forum

Binamu huyu anaweza kuja hapa na kusema kaachana na mambo ya koroshow

..., hivi sikukwambiaga wakati ule nimekuja mjini kufanya window shopping ya bajaj mpya kwamba pale Moro nna maslahi kwenye mashamba ya tumbaku (na tumbaku pori pia).FYI, msimu wa korosho ukiisha naingia kwenye tumbaku na pamba, mkulima wa kisasa anayedhulumiwa na watu wa mjini
 
Mkulima wa kisasa bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
..., hivi sikukwambiaga wakati ule nimekuja mjini kufanya window shopping ya bajaj mpya kwamba pale Moro nna maslahi kwenye mashamba ya tumbaku (na tumbaku pori pia).FYI, msimu wa korosho ukiisha naingia kwenye tumbaku na pamba, mkulima wa kisasa anayedhulumiwa na watu wa mjini
Wakihalalisha tumbaku pori unistue binamu
 
Back
Top Bottom