Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Najua lazima urudi baba Naah..Asante mama Nah..
Nitarudi lakini.
[emoji7][emoji7][emoji7]Najua lazima urudi baba Naah..
Sina wasiwasi wala
Safi baba wawili wanguSalama shunie,habari za huko
Sema kweli tetraHaukua chibongee kama sasa hivii
Ulikua kigoriii..
Ikawaje etiNilimpigia ndiwooo
HahhahahahahHebu hukoooo
Nimefurahi kukuona hapa ,nasubiri je wajua na Shunie Shunie ShangaziNiko apa we mzee
Mbona nimeshaweka we mzee panda juu kidogoNimefurahi kukuona hapa ,nasubiri je wajua na Shunie Shunie Shangazi
Sawa Shangazi Rafiki yangu kipenzi Shunie nafanya hivyoMbona nimeshaweka we made panda juu kidogo
Ni njemaMzimaa wewe.. za ssiku nyingi?
Hahahaha, napanda taratibu Mkuu ,usihofu
Unataka na pichaaSema kweli tetra
HakupokeaIkawaje eti
Usiwe na hofu gorgeous..Ni njema
Mie mzima hofu kwako
Eeenh picha tena haya mambo nayaogopaUnataka na pichaa
HahahhaahaHakupokea
Mimi huyoo?Hakupokea