Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
Hujambo mdogo wangu?Imebidi nikahakikishe kweli nimemkuta usiku wa manane
Hujambo mdogo wangu?Imebidi nikahakikishe kweli nimemkuta usiku wa manane
HahhahaaHujambo mdogo wangu?
Ya heri kabisa.. na nimekumiss sana. Kuhama mwenyewe ni mtihani mzito. Nikitoka kumtumikia boss nakuja [emoji23][emoji23]Hahhahaa
Hii salaam ya heri kweli
Ujue nahama leo na nimerudi mda huu nimechokaje sasa
Nawasubiri ndg waje kunisaidia
Ndo naamka
Huwa naingia sana tuuMorning T
Ule uzi sakayo anaingia
Hahaha hahahaNdio! Au ukute alikuwa piemu anapigwa sound..
Hahaha hahaha hahahaAaaah! Ila wanawezaje kukesha na simu..
Macho si yanaaribika kwa mwanga simu..?
Sakayo nikikukuta jukwaa la mapopo tena unakula bakora [emoji45][emoji45][emoji45]
Nilikuwa nafuta PM mimiAlikuwa piemu eeh?
Na wewe umekuwa kakorofi saana jamaniImebidi nikahakikishe kweli nimemkuta usiku wa manane
Mimi nimeshachokaga kutongoza bhana...Hahaha hahaha
Unajua kukadiria sana, wewe apo ndo mbwino zako
Hadi saa 8 usiku huko ofsini tuu eeh?Hahaha hahaha hahaha
Tunakuwa na PC za ofisini ni free WiFi....
Wewe si ulisema unachepuka eti
Na wewe umekuwa kakorofi saana jamani
Mimi sipendi... Lazima nideke kwanza akiiiMimi nimeshachokaga kutongoza bhana...
Yaani nasema tuu naomba kitu fulani..! Kama napeww nipewe tuu..sinaga tena time ya kudema dema..[emoji41]
Nilikuwa na zamu ya usiku baba NaahHadi saa 8 usiku huko ofsini tuu eeh?
Nilikuwa na zamu ya usiku baba Naah
Nawaona mnavyonioneaaaAlikuwa anakazia tuu...
Hahaha hahaha hahahaHahahaa..[emoji23][emoji23]
Ila kweli...
Mimi mtu akideka ! Nakuwa niko nakula kitu ingine kitambo sana...Mimi sipendi... Lazima nideke kwanza akiii