Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hili neno nililisoma vibaya
Hili neno nililisoma vibaya
Kumbe umeona 😀[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo uwe unamkimbia laa sivyo mnakeshaHa ha ha shunie mgumu kuelewa mzee
Kwema habari ya siku[emoji2][emoji2][emoji2]
Kwema dada ake
NdiwooooKumbe umeona [emoji3]
Hahah lazima ujue maana ata wewe umewanza hivyo, hilo neno lilikua tata sanaNdiwoooo
Nmejua umewaza nn
Abeeh papushi
Mkuu..
Swalamaaa?
Ha ha ha huwa namtoroka huyuHuyo uwe unamkimbia laa sivyo mnakesha
Salama dada,wawili hawajambo hukoKwema habari ya siku
Anasemaje kwani?Ebu nipigie nikupe salaam za mkeo
Aisee! Good lakini amsalimie piere..Lee amehama hapo siku hizi yupo liquid
I love you..!Ila nini eti
Tena mm kutembea na lesen kumenichosha sijui nani anihonge gari card abaki nayo tu
Hahahh... embu usinizeeshe bado kijana mieTupoo bwana we mzee
Love you moreI love you..!
Wacha weehLove you more
Makapuku jina tu mkuuSalama kweli humu..
Mbona kimya au makapuku wameukwaa ukwasi wakaamua kupotea mazima[emoji3][emoji3]