Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,060
Hahahaa! Kama nakuona unavyokaza mikono kukata kona ..Ndo niko kili driving hapaa

Hahahaa! Kama nakuona unavyokaza mikono kukata kona ..Ndo niko kili driving hapaa

Hahaha hahaha hahahaHahahaa! Kama nakuona unavyokaza mikono kukata kona ..![]()
Mm ndioWewe huyooo
Heshima bwanaShkamoo ya nini eti
Amefika ndioHebu kwanza
Amefika kabisaaa jamanii
Dada huyooooooMm ndio
Hapana aisee mm mambo za pm we mzee sitakiHahahaha,Mimi pia nakuogopa lkn hii iwe special mm na ww tu
HallelujahAmefika ndio
Kwahiyo ww umejitoaHili swala namuachia Ninge aje alitolee kauli
Hebu hukooHeshima bwana
Atume nnHebu tuma tuu jamani, na Mungu akubariki.. Na hizi mvua acha kabisaaa
Abeeh papushiMakapuku![]()
Weeh baba naah unataka watu wachizikeHata kesho! Leo lipo linafanyiwa service hapa The Wheels..
UnasemaaaaPm ya nini?
Nakupa namba za shunie kama yeye na lee wataniruhusu lakini..
Msalimie sana mdogo wanguu jamani
Ananisalimia wapi etiNamsalimia mama Naah usijali.
GariAtume nn
We mzee utatekwa shauli yakoHahahaha, hebu omba ruhusa unitumie hy namba
Samaki samakiAnanisalimia wapi eti