HahahahahaHakuna mwenye uhakika wa swaumu yake kwamba ni halali au sio.
Mungu atuzidishie rehema zake na apokee funga zetu maana mitihani na changamoto ni nyingi kwakweli
WoyoooooInshaAllah ngoja tufike 20 love
Kumbe sio mtu?Hahahahaha
Ulivyoongea sasa kama mtu kweli
Hahahhah ni mtu ila ulivyoongea hapo sasaKumbe sio mtu?
Nitajidai my baby oooooooh oòoooh ooooo nakoma za zako kachirii kachirii ukibinuka binuka eeeeeeeh eeeeh eeèeee kivumbi na jasho wawili wawil kwenye mashuka
Uniteke uniteke nicheke kama mtoto uniteke aaah baby hapo ndo penye uniteke unitekenye chiii ninenepe kama mpoto
Macho yake nungunungu akinitazama nami nageuka nunungu miba inasimama
Eeeeeeh Fanya wazi unachotaka zidisha kunipenda
La kuna paparazi na basata tusichapane madenda
Nakoma na zako Kachiri, Kachiri, Ukibinuka binuka
Eeeeeh Eheee Ehee
Asa bebi mi nataka nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Yaani pinda nikukande, Pindaa, Pinda mugongo, Pindaa
Ooh nishikilie nami nikugande, Pindaa, Pinda mi napinda mugongo Pindaa
Embu nipe nikukande, Yaani nikukande
Chiiii
AseeEmbu nipe nikukande, Yaani nikukande
Mmmh nahisi, sijaelewa acha niongeze bia kadhaa ,nielewe vzrBaba wawili nimekumiss mm aliyekuteka na huu mfungo akuachie jamani baba wawili wangu wa kudownload ningendako
Kama mtu mwenye busara zake sio?Hahahhah ni mtu ila ulivyoongea hapo sasa
nimechanganyika kwa kweliHahahahaha chizi ww kwahiyo yamekuchanganya eenh
Nitajidai my baby oooooooh oòoooh ooooo nakoma za zako kachirii kachirii ukibinuka binuka eeeeeeeh eeeeh eeèeee kivumbi na jasho wawili wawil kwenye mashuka
Vipi we mzeeAsee
Wachaaaaa weeeeeehMacho yake nungunungu akinitazama nami nageuka nunungu miba inasimama
Umeelewa sana nimemmiss jukwaani mie sijamuonaMmmh nahisi, sijaelewa acha niongeze bia kadhaa ,nielewe vzr
Mie unanivuruga balaa hujui tuVipi we mzee
Hahahaha kama mtu mwenye busara zake halafu upande wa pili hana hizo busaraKama mtu mwenye busara zake sio?
Hahahhahanimechanganyika kwa kweli
Hahahaha, eti miba inakusimama ,na unageuka nungu nunguMacho yake nungunungu akinitazama nami nageuka nunungu miba inasimama
Kwaniii kuna habariiiiiii ganiiiii etiiiiiiii
Nimekumiss eti kwani umesharudiWachaaaaa weeeeeeh
Eeenh nakuvuruga tena na nn we mzeeMie unanivuruga balaa hujui tu