Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Na kweli unanijua vizuri saaana akiHahhahaa
Nakujua mimi
Na kweli unanijua vizuri saaana akiHahhahaa
Nakujua mimi
Hahahahahah dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue wewe chizi
Nacheka sana jamaniNa kweli unanijua vizuri saaana aki
Najua hizo ni mbinu zake tuu asinipe gari...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiniambie bado haujaelewa
Jamani nacheka mm
Cheka tuu jamani bbebi akeeNacheka sana jamani
Kwamba hujaelewa au?Woooiiii
Abee
Mimi nawavuruga tena?Ww naona unamuelewa mm naona ananivuruga tu anavyopeleka masiku mbele
Nimekuomba hivii usinichoshe!Kwamba hujaelewa au?
NdiwoooMimi nawavuruga tena?
Kila siku unapeleka tarehe mbele tuMimi nawavuruga tena?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuomba hivii usinichoshe!
Nipe hilo gari yako halafu wewe subiria hilo lenye kingereza kama chote!
Woooiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie mvua zinanyesha hebu huko..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
La moyoni hili mkulima wangu wa kishua
Uko wapi eti baba NaahNjoo uchukue...
Nipo hapa hapa...!
Yupo busy na kulimaMwambie mvua zinanyesha hebu huko..
Sakayo ni balaaaa sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kushindwa kukaa na siri kwa sisi wanawake