Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,047
- 3,322
Mara ya mwisho tanga niliagiza litre 5 tukawa tunakunywa na bibi zangu inauzwa elf 2000 sijui elf 2500
😂😂😂ilimfanya bro mwembamba na kuvibrate mwili mzima.🤣🤣🤣
Mara ya mwisho tanga niliagiza litre 5 tukawa tunakunywa na bibi zangu inauzwa elf 2000 sijui elf 2500
Ha ha ha najua huwez kukubar,acha tuijaze dunia ni mwendo wa wawili wawil tuWawili wako mwenyewe hao
MfyuuuuNajua toka upandishwe cheo umekuwa adimu sana
Ebu kachekecheke kule tupate basi mambo yetu
Hata sijui labda uongezee mwenyewe
Cha pombe huyoooFurahi day , ijumaa Kareem ,week end imeanzaView attachment 1087082
Cha pombe huyooo
Furahi day , ijumaa Kareem ,week end imeanzaView attachment 1087082
Hahahaha...hii inaikaribia ile bia yetu ya wakosoaji wa mfumo mbovu wa kodi?! Safari lager?

Binamu aliyekuteka akuachie...hii inaikaribia ile bia yetu ya wakosoaji wa mfumo mbovu wa kodi?! Safari lager?
Wacha weeh mama mpandishwa vyeo nimeipenda avatar natamani nikuibieCha pombe huyooo
Nawakandia baba wawili au nawaambia ukweliKutukandia mm na ndugu yangu![]()
Sijabisha mm na wawili wako wa kudownloadHa ha ha najua huwez kukubar,acha tuijaze dunia ni mwendo wa wawili wawil tu