Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
KabisaaaHazieleweki![]()
KabisaaaHazieleweki![]()
Ulipovuta ulinuilia nini?Dada tena wewe nimevuta bangi staki matatizo
Sasa nani katoka usingizini
Nyota ilichafuka akaniachaa
SawaNadhani ni mimi ha ha ha ha
Wa USA unakubalije kuachwa
Sio ubaki sasa mm nakujuaSawa dadangu mzuri eee
Bado bado kidogo.. SakayoNimeuliza tuu jamani...
Summer imefika?!
Mapenzi yalikufaa ShunieWa USA unakubalije kuachwa
Yalikufa au yalinifaaMapenzi yalikufaa Shunie
Kweli tenaa ShunieSema kweli jamani tetra
Acha tu Mzee.. nataka nikajaribu kuoga baharini labda itasafikaHa ha ha ha ha ha... Isije na unakula sana ugali
Yalikufaa kiaje?Yalikufa au yalinifaa
Kaokoka huyo
Mbona wewe ndo ulibaki eti mrembo!Sio ubaki sasa mm nakujua
Mbona umekuja humu etiBado bado kidogo.. Sakayo
MorningWapenzi wana jukwaa...
Mmeamka kupumzika,,?
Au bado mnaendelea...?
Mmefika round ya ngapi,,,?
..
Embu amkeni basi tusalimiane![]()
Kuota ndoto mbovu mbovu ndo matokeo yake haya.
AmenNawasalimia sana popote mlipo. muwe na Ijumaa njema yenye baraka na mafanikio
Mi nawapenda sana jamani
Narudi kulala tena,mkiamka kunywa chai mniamshe na mimi![]()