Mtunzi Nyemo Chilongani Sehemu ya 01 “Nahitaji kubadilisha tairi, unaweza kunisaidia kaka?” ilisikika sauti ya mwanaume mmoja akimuuliza kijana aliyekuwa amekaa pembeni kwenye tofali. “Hakuna tatizo, kuna hela?” “Kunisaidia tu mpaka hela?” “Ndiyo! Hakuna msaada bila hela, hasa kwa nyie...