Hahahahhaha
Mama naah ndio hasira za kutokukulwa au ndio unataka kuwa chizi kwa kuanza kucheka cheka jamani nimekumbuka makapuku ileeee ulivyokuwa unamwambia T eti hakukuli umeshaanza kucheka cheka hovyo
.....ha nha ahahaah, ni huyu huyu tunayemjua au, maana Pasaka hii watu wanafufuka upya. Ni wakati wa wao kuzika penzi la zamani, kusaka talaka na kuwa na penzi jipya (ufufuo). nNilikuwa chechi leo