Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahaha! Vunga mkuu..mnaenda wapi sasa?Oooh ,ngoja nikimbie kumbe mwenye Mali kaitwa
Hahaha! Vunga mkuu..mnaenda wapi sasa?Oooh ,ngoja nikimbie kumbe mwenye Mali kaitwa
We jitoe tuu ufahamu baba Naah, ila unajua uliniblockEmail au nini mama Nah
SijamboNawasalimu
Sasa km kaitwa ,unaesema mwenye Mali, kuna nn tena, nisije chezea kipondo hapa ,na utu uzima huuHahaha! Vunga mkuu..mnaenda wapi sasa?
Sijambo
Waionaje khali
Na kwako piaSalama, niwatakie jioni njema, baadae kdg wadau
Daah! Mbona hivyo lakini?We jitoe tuu ufahamu baba Naah, ila unajua uliniblock
Mtu pori haogopi mtu pori mwenzie..Sasa km kaitwa ,unaesema mwenye Mali, kuna nn tena, nisije chezea kipondo hapa ,na utu uzima huu
Atakuwa anazungumzia wozap bwanaSiwajahi na sitokaa nifanye hiyo...
Hebu jaribu kutuma piemu sasa huvi
Kiukweli nimemmiss Baba DPenzi linamea penye penzi..
Naona umeamua kumuita..!![]()
Nakujua mimiNavyopenda kulia sasa
Haya ngoja niitikie jamaniSAA hz jioni 16:20
Itakuwa wozapAnajua mwenyewe aki
Stakabadhi hii ninayoijua au nyingineWatu watataka Stakabadhi mama D..! Shauri yako.
Najua unafurahi na mengiNimefurahi tuu jamani
Hahahahha mulemule wozapWala sizungumzii pm mimi
Stakabadhi hii ninayoijua au nyingine
Sema kweli jamani TNimefunga kwa wengine tuu..sio wewe wala mama D
Hahahaha! Shunie naona unachochea moto wa petroli..Hahahahha mulemule wozap