Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha hahaha hahaha
Hebu hukooo....

Mie naomba zawadi yangu jamani, niko serious ujue!
Liko kwa Vehicle carrier from Yokohama..siku ya 5 leo baharini.

Najua unapenda magari zenye speed [emoji41]
IMG-20190304-WA0000.jpeg
 
Nimekumbuka mbali....

The first time naagiza gari...[emoji23][emoji23][emoji23]

Kila siku nilikuwa natrack meli imefika wapi? Yaaani usingizi hauji kabisa mazee..
Umeonaeeee
Sasa mie naweza kumudu kweeeli
 
Back
Top Bottom