...hapo hata kitambi hakionekani, sijui kwanini nikivaaga nguo nyeupe nakuwa kama padri asiyekula sadaka kupitiliza
...wewe si uko zako Congo, sijui Kasavubu, tafuta dawa ya kupendwa, sio unakaaakaa na mvi kwenye ndevu kama mpiga adhana
Mtumue hela za korosho binamu no ndo ile ile...namba yako ndo ile ile au umebadilisha?
Binamu is back
Hivi binamu umefufukia wapi lakini
Mtumue hela za korosho binamu no ndo ile ile
Hahaha pole binamu,huku mvua zina muda sasa zinanyesha kila leo,watu wanalima mavuno january...huku kwema kabisa, asante kwa kuuliza, mvua tu ndo zinasumbua (paa la nyumba ninayoishi halivuji) ila halina ceiling board kwa hiyo utasikia kila mkito wa mvua
Usisahau fursana binamu...yaani acha tu yaani ufufuo wangu sio ule wa siku ya tatu akafufuka, wangu ni ule siku ya mwisho wa mwezi akalipwa hela zake za korosho na sasa anasubiri ujio wa hela alizouza kangomba zije aanze kufaidi matunda na wote waliomkiza na kumuamini watakula mema ya nchi kwa hela zao wenyewe
Asante, nimejibu tu wala sijui anayepewa pole ni nani na kwa sababu gani? Kwani kuna Jipya?
Mm huyu na bundle na chuo...ha hahaha, anapenda sana kujiunga na bando la chuo kwa hii namba
SuuuuuHahahaha, sema Thuu
MTC | 101|
Ziache hizo ushikwe shikweKwahy niache ndevu ? Wkt umesema za kihuni?
MTC | 101|
Pole za jirani yangu huyu,zimekaa kichari shari sanaAsante, nimejibu tu wala sijui anayepewa pole ni nani na kwa sababu gani? Kwani kuna Jipya?