...wewe si uko zako Congo, sijui Kasavubu, tafuta dawa ya kupendwa, sio unakaaakaa na mvi kwenye ndevu kama mpiga adhana
Binamu acha kuruka quotes zangu ujue...namba yako ndo ile ile au umebadilisha?
Ndevu za kihuni hizoHahahaha, Anko bana ,mvi kwenye ndevu km Grand mopao Koffie Olomide
MTC | 101|
Wapi huko jumapili nawaaangalia mnyama yangu wakiwachinja mazembe
Binamu jana nimechagua nyimbo umenipotezea nachagua tena leo
Naomba ifunanya ya marioo
Hahahaha, nami ninayo km ni ile...namba yako ndo ile ile au umebadilisha?
Mweeeh ni jumamosi nimeshasahauHahahaha, mechi si samedi /jmosi au ni Dimanche/jpili ?
MTC | 101|
Hahahaha, nazitoa basi ,nisikuudhi mtarajiwa wanguNdevu za kihuni hizo
Woooow...nimekusikia na kukusoma hapo juu ukijiimbia kumbe ndo hili songi, sisi vijana wenye mambo ya kizee mnatuchanganya.
Hili hapa sasa songi lako, furahia na kwa vile leo unajihisi uko mwenyewe duniani basi huhitaji kuwa na hela, nirushie mpunga kidogo
Ukiwa na no yangu naandamanaHahahaha, nami ninayo km ni ile
MTC | 101|
Mweeeh ni jumamosi nimeshasahau
Binamu acha kuruka quotes zangu ujue
HahahahHahahaha, nazitoa basi ,nisikuudhi mtarajiwa wangu
MTC | 101|
Kwenda wapi hukoUmesahau eeh,haya tupange jpili twende
MTC | 101|
HhahahahNinaziona kwa sana aunt, siwezi kuziruka maana unaweza kuruka mkojo .....waswahili kwa misemo, wameshindikana
Hahahaha, nami ninayo km ni ile
MTC | 101|
Hahahah
Usizitoe bwana
Hhahahah
Mbona jana ulinipotezea