Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Nakujali Boss wangu naanzaje kusahauHahahahhahahahaha jingaaa kweliii we hausahau
Nakujali Boss wangu naanzaje kusahauHahahahhahahahaha jingaaa kweliii we hausahau
OooohHuku kwa makapuku naona pagumu mkuu.
Labda nikachukue likes kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha... basi ngoja na mm nigeuze hiki ndio kiwe kijiwe changuInsta babe huku ndio nyumbani kwangu ukinikosa kote ukija huku lazima unikute
Yaan wenyewe tunajionea kawaida wengine wanasema pagumuOoooh
Kawaida tuu mkuu.... Tunastorisha tuu
Hahahhaha karibu sana insta babe wangu unaowaona wote ni familia yangu tupo kama ndg japokuwa wengi hatujuani ila wengine tunajuana vizuri tu nje ya jf
Ngoja niwe napitapita nipate uzoefuYaan wenyewe tunajionea kawaida wengine wanasema pagumu
Kweli jamani 3bomba muhimu
Kama hujazoea ni pagumuYaan wenyewe tunajionea kawaida wengine wanasema pagumu
Ukipita mara kwa mara lazima uzoee tu ila ukipita mara moja utajionea mashikolo mageni
Karibu sana jamanii
Kweli kabisaKama hujazoea ni pagumu
Kweli mkuuUkipita mara kwa mara lazima uzoee tu ila ukipita mara moja utajionea mashikolo mageni
Asante kushukuru
nimeshakaribia insta babe.... ila mimi uzuri tayari nnakujua vizur nje ya jfHahahhaha karibu sana insta babe wangu unaowaona wote ni familia yangu tupo kama ndg japokuwa wengi hatujuani ila wengine tunajuana vizuri tu nje ya jf


Karibu bwana usipite mara moja moja
Hahhaha umeanza sasa mambo ya kunijua kwako eti Sakayo mm insta kwangu kuna pichanimeshakaribia insta babe.... ila mimi uzuri tayari nnakujua vizur nje ya jf
Sent using Jamii Forums mobile app
insta babe nakujua kimtaani mtaani bwana siyo instaHahhaha umeanza sasa mambo ya kunijua kwako eti Sakayo mm insta kwangu kuna picha


