Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,452
Si unapenda nikifurahi we mzee niambie basi nijue tu nguo nilizovaa
AiseeeNgoja nikafute ile comment kabla sakayo hajaiona..
Sawa sawa ya kuletewa chupi na mm nileteeni
Nipo njiani nakuja lakini..Aiseee
Na wewe apo mbebez wa watuUko na nani eti
Karibu sanaNipo njiani nakuja lakini..
Si umeniacha wasap weweNa wewe apo mbebez wa watu
Ebu njoo we mzee hiyo suruali imechanwa kidogo na top ni ya singlend eenh halafu nimeshika stick ya cameraHahahaha, sawa ,suruali nyekundu, top ya km maua maua hivi ,..pic background ukuta mweupe
Baadae kdg shangazi ,nimalize kikao na wakubwa hapa
MTC | 101|
Hahahaha, naomba hii fursa unipe nikuletee
MTC | 101|
Mpaka umalize kuniambiaKwann shangazi sasa
MTC | 101|
Usiondoke we mzeeWadau nilikuwepo ,nakimbia kdg
MTC | 101|
Hivi si umenikimbia kuleSi umeniacha wasap wewe
Usiondoke we mzee
Ebu njoo we mzee hiyo suruali imechanwa kidogo na top ni ya singlend eenh halafu nimeshika stick ya camera
Cc Sakayo unaikumbuka hii picha ilee ya nywele za mama makinda ulizokua unanitania sijui nani kaniuza kwa huyu mzee, nyingine ni ipii eti
Hahahaha, kwann sasa umecheka ama umenicheka?
Nimecheka kwa nguvu
Jamaa alivyopigiwa simu kwanza hakuamini,,ila aliuliza swali moja tu kwa mtu aliyempigia simu,,kama ni yeye kweli,,kiunon ana nini??jamaa akaambiwa kiunon ana tattoo ya ishu flan,,bhasi jamaa nasikia akaangusha kilio kuanzia hapoDah inasikitisha hizi safari za kusafiri za kuchepuka ukipata ajari bora ufe tu kabisa kuliko unusurike kupona
Natamani kujua mchumba ake ilikuwaje alivyosikia wife to be kapata ajari na mchepuko
Nimekuelewa sana baba wawili