Hivi unastress au?Haha kwahiyo umenisamehe na kunipokea ... huba wangu si-eti ehh !!!
Niambie ni kuletee zawadi gani leo chi-mamy wangu " najua unapenda sana lingerie usihofu umepata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhaah ya kweli hayo halafu ujue ile hela sijapewa mpaka leo nimeshasameheMmh ya kweli hayo? Aje aseme mwenyewe basi.
Wewe huyoDahh naona unataka kuanzisha WW3 ...round hii nitaondoka na kichwa cha mtu aise ...... utamu wa ABJ sinto taka unipite kirahisi mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm yangu macho tu jamanii
Hahahhaah ya kweli hayo halafu ujue ile hela sijapewa mpaka leo nimeshasamehenajua umeelewa tunaongea kwa code tu
Wewe hapo ....nani mwingine tena zaidi yako mwenye uthubutu wakunifanya niwe na stress
Kwahiyo ABJ atakuwa wangapi eti
Hamna shunie anatania tu ..siwajua anapenda Sana matani ..au umemsahau !?Nisaidie mwaego
Simuelewi huyu kaachwa huko ndo kaanza kulia lia hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilitoka ahadi ndio haijarudi sasa mpaka leo acha tusamehe tuDuh hujapewa?? Why? Si ilitoka ahadi kwamba itarudi?
Anarudisha majeshi kwa koloni lakeNisaidie mwaego
Simuelewi huyu kaachwa huko ndo kaanza kulia lia hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kweli napenda matani yanayoendana na ukweliHamna shunie anatania tu ..siwajua anapenda Sana matani ..au umemsahau !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilitoka ahadi ndio haijarudi sasa mpaka leo acha tusamehe tu
Hata sijui mm nimemsalimia tu binamu yangu
Duhh !!!! Kwaherini .... tutaonana baadaeNa kweli napenda matani yanayoendana na ukweli
Hili swali limekuponyoka ama haha haukuwa umetarajia kuniuliza mimi sindio shunie eehh .....
Sent using Jamii Forums mobile app
Na akujibuWala halijaniponyoka nimekuuliza wewe tu
Hahhahaha sijajua hapo ni kwa wote au ni kwangu tuAise...hii ni kwa wote?
Dahh naona unataka kuanzisha WW3 ...round hii nitaondoka na kichwa cha mtu aise ...... utamu wa ABJ sinto taka unipite kirahisi mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Eiish