Nzuri mama D...Safi sana jamani za kuadimika
Amina mama D...Asante T tuzidi kumshukuru Mungu hakuna kama yeye
Msururu wa vipi huo
Yaan naipendaga sana kanaonekana kadada kastaarabu kama mm jamanii
Kwahiyo unanibishia mm sio mstaarabu jamani
Ila ni nini eti hivi mm kweli sio mdada mstaarabu baba wawili ningendako ebu ukuje jamani huyu binti ananibishia
Unavumilia acha kukata tamaa mapema wa wapi we mdada
Hahahahah tena unamuuliza huyo hayaa ngoja niwe mtazamajiIla ni nini eti hivi mm kweli sio mdada mstaarabu baba wawili ningendako ebu ukuje jamani huyu binti ananibishia
Huyo ndio ataniua kabisa eenh
Binamu Obe na ww korosho zako zimerudishwa au ABJ na baba wawili ebu mkuje mshangae ya koroshow
BBC: sakata la korosho serikali ya Tanzania yawarudishia wakulima korosho wadai hazina viwango, wengi hawajalipwa mpka sasa - JamiiForums
Vumilia tu mwishoni utakula malaki tu woiiiiibinamu Obe alivyo habebeki sasa utambeba atakuja kukutupa