....subiri nilipwe hela zangu, namlipa kama wanavyolipwa wabunge wetu. Atanifundisha hadi nitoke mapengo
KAPUKU naamini mmeamka salam,
Mungu awafanyie wepesi ktk Mihangaiko ya kila sk na 1st Feb iwe ni mtelezo mpk Dec(kwa rehma zake)
Muwe na asubuhi njema yenye baraka nawapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
What a blessed dedication mtaasisi thanks so muchHaijalishi nitaingia muda gani, ila kuwepo hapa tu ni sababu nzuri ya kusema nakufurahia wewe mdau wa jukwaa hili mara zote unapokuwepo hapa ni jambo zuri.
Burudika kwa muziki na BTW Nyagei mtaasisi, ni jambo zuri kukuona hapa jukwaani
I miss you tooNimewamiss tu mm shangazi yenu nawapenda jamani namalizia mfungo week hii tutaonana wapenzi
Nimekumiss aunt yangu
...eeh, kumbe uko kwenye maombi!!! Mbona sikulijua hili mapema nikuletee raha zangu uziombee.
kwanini sikujua hili mapema jameni, yaani hakuna hata mtu mmoja wa kuniambia. Watu wabaya sana.
haya sasa unamalizia maombi, je yalikuwa maombi ya mnyororo au ya kuungaunga kama sala za maskini
Hahaha binamu bhana...yule hawezi kuacha kunitaja, nilimsaidiaga sana maana nilitembea naye sana, hata akichoka namtia moyo, tunatembea tu, nikikaza harakaharaka anasema atachoka haraka na mimi nitamaliza mapema. tulitembea toka Shangani hadi hapa chuo cha Ualimu Mtwara. Hawezi kusahau, tulitembea sana maana hakuwa na nauli na mimi nilikuwa sijalipwa hela zangu za korosho hivyo sikuwa na nauli suluhu ikawa ni kutembea kwa miguu tulivaa viatu hatukuwa pekupeke
Assalaym alyequm mrembo
Hahaha nmeliona aiseeHuu ni uzembe wa kiwango cha juu sana..
Asante kwa jibu mubashara (japokua ulichokijibu nna mashaka nacho)
Masucksuckmgeni umekuja mjini na kamba kila pahala
ningendako umeona jibu.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha fitina hzo binamu...huyu Ningendako ni mchepukaji, usimuite tafadhari. unaweza kumuita akaja kweli halafu akachepuka tena usimuone ukabaki huyu si alikuwa hapa saa hii tu
Na kwako pia,,feb njemaKAPUKU naamini mmeamka salam,
Mungu awafanyie wepesi ktk Mihangaiko ya kila sk na 1st Feb iwe ni mtelezo mpk Dec(kwa rehma zake)
Muwe na asubuhi njema yenye baraka nawapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Waaleykumsalaam (nimejitazama mara 3 3 kuuona huo urembo sijaupataAssalaym alyequm mrembo
Haha sijasema mimi hapo umemtaja wewe dadaTuombe radhi,,kwa hyo dada angu Tumosa nae mtata
Umeelewa maana ya kusema ukoo matata, ?Hahaha nmeliona aisee