Binamu kwani hizi habari ni kweli nimekuta kwenye group mtu ameirusha...aina nyingine ya ujinga na ulevi wa madaraka!
Kwa sisi tunaotumika usiku tukose mawasiliano?
BTW, hizi kampuni zinatengeneza faida kwa kufanya kazi/huduma za mawasiliano, wengine tuna biashara za mtandaoni na kodi tunalipa, huku ni kufisha biashara
Nimlipe nini sasa
Sawa sawa dada angu[emoji23][emoji23]Nashukuru kaka angu kwa kuniletea wiii
[emoji15][emoji15]Acha kumsingizia huyo baba alishakuacha ukiachwa achikaaaa
HahahahHupendi niwe nae nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We fwala kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa nisipende anikule mimi
[emoji123][emoji123]Sijui kuachwa kwa kweli[emoji124] [emoji124]
Ww unataka woiiiih na wouzerr ziwe nyingi hapa,,pamoja na zile emoj za fire
Baba wawili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mm hivi baba wawili we ni mnyaturu eenhWw unataka woiiiih na wouzerr ziwe nyingi hapa,,pamoja na zile emoj za fire
Poa babe maana uzi unatembea huo
Si unajuaga hiko kipengele kwangu kimenikalia kushoto baba wawili[emoji15][emoji15]
Shangaz hanaga siri kabsa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwakwelPoa babe maana uzi unatembea huo
Hahahaha mnyiramba shangaz,unakijua eehBaba wawili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mm hivi baba wawili we ni mnyaturu eenh
Baba wawili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mm hivi baba wawili we ni mnyaturu eenh
Hao ni watu wa wapi? Halafu mmeanza kuulizana makabila kunani ?Hahahaha mnyiramba shangaz,unakijua eeh
Hivi wanyaturu na wanyiramba tofauti eenh nilijua mnyaturu unipe salaam yao kwa kilughaHahahaha mnyiramba shangaz,unakijua eeh
Ww unataka woiiiih na wouzerr ziwe nyingi hapa,,pamoja na zile emoj za fire
Hakuna shida we mzee mbona unaogopa au kabila lako