Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,253
- 90,451
Nipo shangazi, mie siwezi kutekwa labda jimama la kicongo linifungie ndani,Hivi huyu mzee mtu chake bado tu hajaonekana huko Congo au wamemteka jamani
Jamani kumbe wa mama wa kicongo huwa wanawafungiaNipo shangazi, mie siwezi kutekwa labda jimama la kicongo linifungie ndani,
Tulikua busy na uchaguzi sasa tuko busy na kesi ya uchaguzi, kisha tuwe busy na kumuapisha Rais mteule, kisha busy kuunda baraza la mawazi
Mambo vipi lkn
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo mjomba mjomba??mashangaz zangu hawajambo?Mjomba mjomba nakusalimia
Wazima kabisaaaaUpo mjomba mjomba??mashangaz zangu hawajambo?
JiweeeeeeeeeJamani kumbe wa mama wa kicongo huwa wanawafungia
Nimefurahi kukuona we mzee kama upo mzima, rais atakaeapishwa ni huyu aliyetangazwa au kuna mabadiliko
Hilo jina linanikumbusha mbaliJiweeeeeeeee
Baba wawili habari yakonmeona aiseee,,vp tumpeleke tena tuishieni au aweke pozi kwanza,,tuone maendeleo zaidi
Yule wa pale kona bar,,juzi kati niligongane nae mitaa flan hivi,,amenona balaa,,,mjomba upo vzr kumbe ndio maana unatembea unaongea peke yako barabaran ,,mkwanja wote unapeleka hukoWazima kabisaaaa
Baba wawili habari yako
Hilo jina linanikumbusha mbali
Na ulichomwambia alinambiaaa ila wewe jaman mjomba unapendaa vya watu ....sema kwa sasa nmempiga blacklst mpaka january ipotee...Yule wa pale kona bar,,juzi kati niligongane nae mitaa flan hivi,,amenona balaa,,,mjomba upo vzr kumbe ndio maana unatembea unaongea peke yako barabaran ,,mkwanja wote unapeleka huko
Nani kafungaaSalama shangaz,habar za uzima??vp mfungo
Pale si najua mteremko mjombaNa ulichomwambia alinambiaaa ila wewe jaman mjomba unapendaa vya watu ....sema kwa sasa nmempiga blacklst mpaka january ipotee...
Jiweee,,nmeona sehem kuwa yupo kwenye mfungoNani kafungaa
Salama baba wawili jamani za wewe namshukuru Mungu naendelea vizuri na mfungoSalama shangaz,habar za uzima??vp mfungo
Limenikumbusha enzi zangu za mbebishoNini tena ushakuwaa muhengaaaa au
Jiweee,,nmeona sehem kuwa yupo kwenye mfungo