Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hivi huyu mzee mtu chake bado tu hajaonekana huko Congo au wamemteka jamani
Nipo shangazi, mie siwezi kutekwa labda jimama la kicongo linifungie ndani,

Tulikua busy na uchaguzi sasa tuko busy na kesi ya uchaguzi, kisha tuwe busy na kumuapisha Rais mteule, kisha busy kuunda baraza la mawazi

Mambo vipi lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani kumbe wa mama wa kicongo huwa wanawafungia

Nimefurahi kukuona we mzee kama upo mzima, rais atakaeapishwa ni huyu aliyetangazwa au kuna mabadiliko
 
Yule wa pale kona bar,,juzi kati niligongane nae mitaa flan hivi,,amenona balaa,,,mjomba upo vzr kumbe ndio maana unatembea unaongea peke yako barabaran ,,mkwanja wote unapeleka huko
Na ulichomwambia alinambiaaa ila wewe jaman mjomba unapendaa vya watu ....sema kwa sasa nmempiga blacklst mpaka january ipotee...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom