Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
....![]()
...hii elfu 10, mbona imenyofolewa pembeni? Kuna mtu alikuwa anaonjeshwa?
....![]()
Shemejiiiiiii [emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344]
Barikiwa sana mtumishiNi wakati mzuri wa kuongea na Mungu!
AmenBarikiwa sana mtumishi
Kaka ake mie shikamoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lkn mjomba alikupendea hvyo hvyo na shapeless lako
MfyuuuuuEwaaaaaa
Unaanzaje yaniEeenh kwahiyo sitakiwi kuwa portable
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mniwacheeeeee mume wangu mwenyewe ananipendea ubonge wangu kaniambia nikipungua tu ananitafutia mchepuko
Usinambie na ww umo kaka akeKwenye list ya mara 20 eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ykoJamani naam
Salama kabisa za kwakoMambo yko
I miss youAbeeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan mjomba yenu anajua jamani sasa akinibeba shangazi yenu na huu ubonge nasema huyu baba ujue kazaliwa kwa ajili yangu
Huwa namuombea tu asije kuniangusha nikimwangukia tu shangazi yenu na kesi ya kuua nitamfunika na mwili wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...binamu, hii pic huyu shangazi yako mbona hana kitambi? wanawake wasio na vitambi hawavutii kabisa
Ni njemaSalama kabisa za kwako