Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Marhaba ndugu yangu,,kwema huko?Kaka ake mie shikamoo
Habar za mapumziko
Marhaba ndugu yangu,,kwema huko?Kaka ake mie shikamoo
Usinambie na ww umo kaka ake

hapana dada angu,,mambo ya shangaz hayo na mjomba
Aiseee...nakupenda Husna wangu, wewe peke yako na unalijua hilo kwa herufi kubwa
Imekunjwa bana...hii elfu 10, mbona imenyofolewa pembeni? Kuna mtu alikuwa anaonjeshwa?
Hallelujah mama mtumishiNi wakati mzuri wa kuongea na Mungu!
Naanza tu jamaniUnaanzaje yani
Sasa huoni alivyosemaUsinambie na ww umo kaka ake
Baba wawili huo mkono wakoMarhaba ndugu yangu,,kwema huko?
Habar za mapumziko
Unajifanya mtakatifu kwa dada akohapana dada angu,,mambo ya shangaz hayo na mjomba
Ndio shangaz mzunguuBaba wawili huo mkono wako
Kheeeee baba wawili nishakuwa tena shangazi mzunguNdio shangaz mzunguu
Nakuharibiaje tena baba wawiliSiku hiz unanharbia sana
![]()
We mzee shikamoo
Nakuona mama wa Heineken nakuonaWe mzee shikamoo
Nipo Nyegezi bus stand hapa nasubiria vikukuWe mzee shikamoo
Hahhaha Heineken zinastop week nzima naingia kwenye maombi na mfungoNakuona mama wa Heineken nakuona
Nipo Nyegezi bus stand hapa nasubiria vikuku





Mfungo mwemaHahhaha Heineken zinastop week nzima naingia kwenye maombi na mfungo